Juventino na Masimino

Juventino na Masimino (walifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 29 Januari 363) walikuwa askari walinzi wa kaisari Juliani Mwasi waliouawa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Januari[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.