Karas mkaapweke

Karas mkaapweke (pia: Anbba Karas, الأنبا كاراس) alikuwa mmonaki wa Kanisa la Kikopti aliyeishi peke yake kabisa kwa miaka 57 katika jangwa la Skete.[1].

Mt. Karas.

Maisha yake yaliandikwa na Pambo[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.