Karauno

Karauno (kwa Kifaransa: Chéron; alifariki Chartres, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 hivi) alikuwa shemasi wa Roma aliyeinjilisha sehemu mbalimbali za nchi ya Galia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.