Kialemani
Kialemani (pia: Kijerumani cha Kialemani) ni kundi la lahaja za lugha ya Kijerumani zinazotumiwa na watu milioni 10 katika nchi 6: Ujerumani ya Kusini-Magharibi, Uswisi, Austria, Ufaransa mashariki, Liechtenstein na Italia kaskazini. Katika Uswisi huitwa pia "Kijerumani cha Kiswisi"
Hakuna tahajia inayokubaliwa jinsi ya kuiandika.
Viungo vya nje
- makala za OLAC kuhusu Kialemani Archived 2 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialemani katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gsw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialemani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz