Kinias
Kinias ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanias kwenye visiwa vya Batu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinias imehesabiwa kuwa watu 770,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinias iko katika kundi la Kisumatra.
Viungo vya nje
- lugha ya Kinias kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinias
- lugha ya Kinias katika Glottolog
- lugha ya Kinias kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinias kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz