Kiveps
Kiveps ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Waveps. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiveps imehesabiwa kuwa watu 1640. Waveps wengi wanatumia lugha ya Kirusi. Hata hivyo, kuna jitihada za kuendeleza lugha ya Kiveps kupitia elimu ya msingi, redio na maandiko.
Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiveps kiko katika kundi la Kifini-Kiugori. Ingawa kinafanana na Kilivvi na Kiludi, ni lugha tofauti. Wengine huangalia lugha hizo kuwa lahaja za Kikareli.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiveps kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiveps
- lugha ya Kiveps katika Glottolog
- lugha ya Kiveps kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiveps kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz