Kresto na Papo

Kresto na Papo (walifariki Tomi, leo Constanta, nchini Romania, karne ya 4 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.