Kristofa, Antoni na Yohane

Kristofa, Antoni na Yohane (walizaliwa 1514/1517; walifariki Tlaxcala, Mexico, 1527/1529) ni vijana Wahindi Wekundu waliofia Ukristo, wa kwanza katika bara la Amerika[1].

Wafiadini wa Talxcala walivyochorwa

Papa Yohane Paulo II aliwatangaza wenye heri tarehe 6 Mei 1990, halafu Papa Fransisko tarehe 15 Oktoba 2017 akawatangaza watakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 23 Septemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.