Kwirino wa Roma (30 Aprili)

Kwirino wa Roma (alifariki Roma, 116) ni mwanasheria wa Roma ya Kale aliyefia dini ya Kikristo[1].

Mt. Kwirino na Mt. Balbina.

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Binti yake pia, Balbina wa Roma anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 31 Machi.

Sikukuu ya Kwirino huadhimishwa tarehe 30 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Walter Bader: St Quirinus zu Neuss. 1955
  • Max Tauch: Quirinus von Neuss. 2000, ISBN|3-87909-692-9
  • Helmut Wessels: Neuss und St. Quirin zu Fuß. 2004, ISBN|3-7616-1801-8, Engl. ISBN|3-7616-1956-1)
  • Erich Wimmer: Quirinus von Neuss. in Lexikon für Theologie und Kirche (LThK) Bd. 8

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.