Lioba

Lioba (pia: Leoba au Leofgyth; Wessex[1], 710 hivi - Shornsheim, 28 Septemba 782) alikuwa mmonaki Mbenedikto[2][3] kutoka Uingereza aliyetumwa kama mmisionari huko Ujerumani mwaka 746[4][5], halafu akawa abesi na kuanzisha monasteri mbili[6].

Sanamu yake huko Schornsheim.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 28 Septemba ya kila mwaka[7].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Talbot, C. H., ed. The Anglo-Saxon Missionaries in Germany: Being the Lives of S.S. Willibrord, Boniface, Strum, Leoba and Lebuin, together with the Hodoeporicon of St. Willibald and a Selection from the Correspondence of St. Boniface. New York: Sheed and Ward, 1954.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
     . http://www.oxforddnb.com/view/article/39268?docPos=1.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.