Lodoviko Pavoni

Lodoviko Pavoni (11 Septemba 17841 Aprili 1849) alikuwapadri Mkatoliki wa Brescia (Italia Kaskazini)[1] aliyeanzisha shirika la Wana wa Maria Imakulata ili kumsaidia kulea wavulana fukara kwa kuwafundisha maadili na ufundi[2][3].

Mt. Lodoviko katika vazi rasmi la kipadri.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Aprili 2002, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.