Lodwar


Lodwar ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Turkana.

Lodwar
Lodwar is located in Kenya
Lodwar
Lodwar

Mahali pa mji wa Lodwar katika Kenya

Majiranukta: 03°07′0″N 35°36′0″E / 3.11667°N 35.60000°E / 3.11667; 35.60000
NchiKenya
KauntiTurkana
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 48,316
Picha ya Lodwar
Picha ya Lodwar na kituo cha ndege ya Lodwar
Picha ya Lodwar
Mto wa Turkwell, Lodwar
Soko Lodwar baada ya mvua ikijaa maji

Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 48,316[1].

Lodwar ina mito miwili na kiwanja cha ndege ndogo. Mto mkubwa ni mto Turkwel.

Watalii wanasafiri Lodwar kuona pahali ya masalia ya zamadamu (kama kijana wa Turkana, aliyefumwa na Kamoya Kimeu, Meave Leakey na Richard Leakey) na kupumzika karibu na ziwa la Turkana.

Tanbihi