Lonjino
Lonjino (kwa Kilatini Longinus[1]) ni jina linalotumika[2] kwa askari aliyemchoma kwa mkuki Yesu akiwa maiti msalabani kadiri ya Injili ya Yohane 19:34-37[3].
Ingawa Biblia haina habari zaidi juu yake, inasadikika kwamba baadaye akawa Mkristo[4] na pengine hata kwamba akamfia.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 16 Oktoba (Kanisa Katoliki[5], Waorthodoksi na Anglikana), lakini pia tarehe 22 Oktoba au 14 Novemba (Waorthodoksi wa Mashariki) na tarehe nyingine nyingi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Reliquary of Saint Longinus
- Catholic Forum: St. Longinus
- St. Longinus Archived 20 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
- Catholic-Saints St. Longinus
- Longinus
- Martyr Longinus
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lonjino kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz