Lucho, Montano na wenzao

Lucho, Montano na wenzao Juliano, Vitoriko, Vikta na Donasiani (walifia dini Karthago, katika Tunisia ya leo, 259 hivi) walikuwa Wakristo ambao, kwa kushika mafundisho waliopewa na askofu Sipriani, waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.