Luigi Galvani

Luigi Galvani (matamshi ya Kiitalia: luˈiːdʒi ɡalˈvaːni; kwa Kilatini: Aloysius Galvanus; 9 Septemba 17374 Desemba 1798) alikuwa mwanafizikia, tabibu, mwanabiolojia na mwanafalsafa wa Italia. Ni maarufu kwa kuvumbua umeme mwilini mwa wanyama na anatambulikana kama mwanzilishi wa umemesumaku wa kibiolojia.

Luigi Galvani alivyochorwa.
Jaribio la De viribus electricitatis in motu musculari.

Mwaka 1780 alivumbua kwamba misuli ya miguu ya vyura wafu ilishtuka ilipochokozwa kwa umeme kidogo.[1]

Maandishi yake

  • De viribus electricitatis, 1791. The International Centre for the History of Universities and Science (CIS), Università di Bologna

Tanbihi

Vyanzo

  •  

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luigi Galvani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.