Malakia wa Armagh

Malakia wa Armagh (jina asili la Kieire: Máel Máedóc Ua Morgair;; Armagh, Ireland, 1094 - Clairvaux, Ufaransa, 2 Novemba 1148) alikuwa mkaapweke, padri, abati, halafu askofu (1124) wa Cannoret, tena wa Down na Connor, Ireland, alipoanzisha jumuia ya Wakanoni[1].

Kioo cha rangi kikimuonyesha Mt. Malakia huko Sligo.

Alifariki katika monasteri ya Bernardo wa Clairvaux, aliyeandika maisha yake[2] .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Novemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.