Marina wa Antiokia

(Elekezwa kutoka Margareta wa Antiokia)

Marina au Margareta wa Antiokia (289-304) alikuwa bikira wa Antiokia ya Pisidia (leo nchini Uturuki) aliyefia dini ya Ukristo[1][2].

Mt. Marina Mfiadini alivyochorwa mwaka 1858.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3], Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki[4] na Waanglikana[5] kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai[6] au siku nyingine kadiri ya madhehebu.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Acta Sanctorum, July, v. 24–45
  • Bibliotheca hagiographica. La/ma (Brussels, 1899), n. 5303–53r3
  • Frances Arnold-Forster, Studies in Church Dedications (London, 1899), i. 131–133 and iii. 19.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.