Marko wa Aretusa

Marko wa Aretusa (alifariki Aretusa, Syria, 364) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 341 au kabla ya hapo.

Wakati wa uenezi wa uzushi wa Ario hakuiumba hata kidogo katika imani sahihi.

Baadaye aliteswa sana katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi[1].

Gregori wa Nazianzo alimsifu kama "mtu wa pekee na mzee mtakatifu sana"[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3] na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Machi[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.