Martha binti Pusisi

Martha binti Pusisi (alifariki nchini Uajemi, 341) ni kati ya Wakristo elfu kadhaa, waliouawa kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II pamoja na Patriarki Simeoni[1].

Bikira huyo aliuawa katika sherehe ya Pasaka[2], siku moja baada ya Pusisi, baba yake[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Aprili[5].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.