Uasilia
(Elekezwa kutoka Mazingira ya asili)
Uasilia (kwa Kiingereza: nature, neno linatokana na lile la Kilatini natura ambalo linamaanisha "tabia ya kuzaliwa nayo" na lilikuwa tafsiri ya neno la Kigiriki φύσις, physis lililotumiwa na washairi na wanafalsafa wa kwanza.[1][2][3] ), maana yake ni ulimwengu ulivyokuwa kwa asili, kabla ya binadamu kuuathiri kwa utamaduni na hasa kwa ustaarabu wake, uliokuza teknolojia inayomwezesha kufanya mengi, mazuri na mabaya, pengine mambo yanayoleta faida ya haraka lakini yana madhara makubwa kwa siku za mbele.
Uasilia wote unasomwa kwa mpango na sayansi katika matawi yake yote.
Tanbihi
Viungo vya nje
- The IUCN Red List of Threatened Species (iucnredlist.org)
- The Wild Foundation – The heart of the global wilderness conservation movement (wild.org)*
- Fauna & Flora International is taking decisive action to help save the world’s wild species and spaces (fauna-flora.org)
- European Wildlife is a Pan-European non-profit organization dedicated to nature preservation and environmental protection (eurowildlife.org)
- Nature Journal (nature.com)
- The National Geographic Society (nationalgeographic.com)
- Record of life on Earth (arkive.org) Archived 2016-04-26 at Archive.today * BBC – Science and Nature (bbc.co.uk)
- PBS – Science and Nature (pbs.org)
- Science Daily (sciencedaily.com)
- European Commission – Nature and Biodiversity (ec.europa.eu)
- Natural History Museum (.nhm.ac.uk)
- Encyclopedia of Life (eol.org).
- Science.gov – Environment & Environmental Quality Archived 8 Agosti 2002 at the Wayback Machine..
- Ducarme, Frédéric; Couvet, Denis (2020). "What does 'nature' mean?". Palgrave Communications 6 (14). doi:10.1057/s41599-020-0390-y.
- Ducarme, Frédéric; Flipo, Fabrice; Couvet, Denis (2020). "How the diversity of human concepts of nature affects conservation of biodiversity". Conservation Biology 34 (6). doi:10.1111/cobi.13639.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uasilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz