Mchoroko
Mchoroko (Vigna mungo na V. radiata) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mchoroko-kijani unaobeba makaka | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mchoroko (Vigna mungo na V. radiata) ni jina la spishi mbili za mimea katika familia Fabaceae unaozaa choroko, mbegu zake ndogo kuliko aina zote za maharagwe zikuazo ndani ya makaka.
Picha
- Mchoroko-kijani unaobeba maua na makaka mabichi
- Kaka kavu likijifungua
- Choroko kijani
- Choroko mbili kwa karibu (miraba ina mm 5)
- Choroko nyeusi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchoroko kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz