Meriem Sassi

Meriem Sassi (alizaliwa 1 Aprili 1991) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Alicheza kama golikipa wa Klabu ya Al-Nahda fc huko Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]

Marejeo

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meriem Sassi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.