Meveni

Meveni (pia: Mewan, Mevennus, Meven, Méen; Gwent au Ergyng[1], Wales Kusini, 540 hivi - Gael, Bretagne, leo nchini Ufaransa, 617 hivi) alikuwa mmonaki nchini kwake, akamfuata ndugu yake Samsoni wa Dol, askofu mmisionari, hadi Bretagne[2]

Katika msitu wa huko alianzisha monasteri[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Juni[5].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.