Moninne

Moninne au Modwenna (Donaghmore, County Down, 435 hivi - Killeavy, 517 hivi[1]) ni mmojawapo kati ya watakatifu wa kwanza wa Ireland.

Anatajwa kama mmonaki, abesi, na mwanzilishi wa monasteri iliyoshika maisha ya upwekeni kwa mfano wa Nabii Eliya na Yohane Mbatizaji[2] [3].

Anahesabiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.