Mto Oder

Mto Oder (kwa Kicheki na Kipoland: Odra) ni mto wa Ulaya ya Kati.

Mto Oder karibu na Kienitz, Ujerumani
ChanzoChekoslovakia
MdomoBahari Baltiki
NchiChekoslovakia, Poland, Ujerumani
Urefukm 866
Kimo cha chanzomita 634
Miji mikubwa kando lakeOstrava, Opole, Breslau, Zielona Góra, Frankfurt (Oder), Stettin
Beseni ya mto Oder - Odra

Chanzo chake kipo katika Jamhuri ya Kicheki, inapita katika Silesia (Poland) hadi kuwa mpaka baina ya Ujerumani na Poland. Kilomita chache kabla ya kuishia katika Bahari Baltiki unaingia tena ndani ya Poland ukipita mjini Stettin - Szczecin hadi kufika baharini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Oder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.