Nandi Hills

milima nandi

Nandi Hills ni mji wa magharibi mwa Kenya katika Kaunti ya Nandi.

Bonde la Mogobich, Nandi Hills.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 73,626[1].

Nandi Hills ni kata ya eneo bunge la Nandi Hills[2].

Tanbihi