Navassa

Navassa ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti ambacho kinadaiwa na nchi hiyo tangu mwaka 1801 kuwa ni chake lakini kinatawaliwa na Marekani tangu mwaka 1857.[1][2][3][4]

Navassa kutoka angani.

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 5.4 lakini hakina wakazi wa kudumu.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Navassa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.