Nothelm wa Canterbury

Nothelm wa Canterbury (pia Nothelm;[1] alifariki 17 Oktoba 739) alikuwa askofu mkuu wa Canterbury kuanzia mwaka 735[2].

Akiishi katika Karne za Kati, aliandikiana na watakatifu Beda Mheshimiwa[3][4] na Bonifas mfiadini[5].

Tangu kale yeye pia anaheshimiwa na Wakatoliki[6] na Waanglikana[6] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.