Olga wa Kiev
Olga wa Kiev (kwa Kirusi: Ольга; Pskov[1], Urusi, 890-925 hivi [2][3] – Kiev, Ukraina, 969[4]) alitawala utemi wa Kiev kwa niaba ya mwanae kuanzia mwaka 945 hadi 960.
Baada ya kupokea ubatizo alijitahidi sana kueneza Ukristo nchini. Kazi hiyo ilikamilishwa na mjukuu wake, Vladimir Mkuu[5].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz