Panfilo wa Sulmona

Panfilo wa Sulmona (alifariki Corfinio, 700 hivi) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kusini[1].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.