Papa Innocent X

Papa Innocent X (6 Mei 15747 Januari 1655) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba/4 Oktoba 1644 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Inosenti X.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj.

Alimfuata Papa Urbano VIII akafuatwa na Papa Aleksanda VII.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Papa Innocent X katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.