15 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Septemba ni siku ya 258 ya mwaka (ya 259 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 107.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Mateso, na za watakatifu Nikomedi wa Roma, Valeriani wa Tournus, Stratoni, Valeri na wenzao, Niseta Mgoti, Albino wa Lyon, Apro wa Toul, Aikardi wa Jumieges, Emila na Yeremia, Katerina wa Genoa n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.