Paulino wa Trier

Sanamu yake.

Paulino wa Trier (alizaliwa Gascony, Ufaransa[1] - alifariki Frigia, leo nchini Uturuki, 358) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ujerumani).

Alitetea imani sahihi dhidi ya Uario, na kwa ajili hiyo alipelekwa na kaisari Konstans II uhamishoni[2][3], alipofariki miaka 5 baadaye.

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Agosti[4][5].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.