Paulo Mnyofu

Paulo Mnyofu (225 - 339 hivi ) alikuwa mmonaki huko Misri kusini chini ya Antoni Abati aliyemjaribu kwa kila namna na kuthibitisha utiifu wake wa ajabu[1].

Mchoro mdogo katika Menologion of Basili II.

Alijaliwa uwezo wa pekee juu ya pepo[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Machi[4][5].

Msemo wake

Msemo wake mrefu katika tafsiri ya Kiswahili unapatikana ndani ya kitabu: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.