Pelagia wa Antiokia

Pelagia wa Antiokia alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 4 wa huko Antiokia, leo nchini Uturuki, ambaye baada ya kuishi kwa anasa aliishi kwa toba kali hadi kuharibu afya yake na hatimaye kufa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo kwa Kiswahili

  • S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.

Marejeo mengine

  • , Huntington: Our Sunday Visitor, uk. 611, ISBN 1-931709-75-0, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 October 2015  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Unknown parameter |df= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help).
  •  .
  •  .
  •  .
  • , Antwerp .
  • Jacobus Diaconus, The Life of Saint Pelagia the Harlot, English translations from the Latin available online:
    • Translation Archived 2 Desemba 2020 at the Wayback Machine. by Sr. Benedicta Ward, S.L.G., "Pelagia, Beauty Riding By" in Harlots of the desert: a study of repentance in early monastic sources. (Cistercian Publications, Inc., series: Cistercian Studies (Book 106), Kalamazoo, 1986. ISBN 9780879076061.): Latin Text in PL 73, 663-672)
    • Translation by Revd Benedict Baker, Bronllys, UK. Accessed on 25 July 2018.
    • Orthodox Classics in English, "The Eighth Day of the Month of October: The Life of Our Holy Mother Pelagia the Nun, who was Once a Harlot, Written by James, a Deacon of the Church of Heliopolis, from The Great Collection of the Lives of the Saints, Vol. 2: October, compiled by Saint Demetrius of Rostov". Chrysostom Press, House Springs. Archive copy accessed on 25 July 2018.
  • , New York: Robert Appleton Co. 
  •  . (Kijerumani)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.