Pelaji wa Cordoba

Pelaji wa Cordoba (kwa Kihispania: Pelayo; Crecente, 912 hivi - Cordoba, Hispania, 926) alikuwa mtoto Mkristo wa Hispania, aliyeuawa kwa kuchanwachanwa kwa koleo za chuma kutokana na amri ya mtawala wa eneo hilo, Abd-ar-Rahman III kwa sababu alikataa kusilimu[1] na kulawitiwa naye[2][3].

Kifodini chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini[4][5][6].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 26 Juni[7].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Jessica Coope: Martyrs of Cordoba: Community and Family Conflict in an Age of Mass Conversion: Lincoln: University of Nebraska Press: 1995: ISBN 0-8032-1471-5.
  • Kenneth Wolf: Christian Martyrs in Muslim Spain: Cambridge: Cambridge University Press: 1988: ISBN 0-521-34416-6.
  • Mark D. Jordan, The Invention of Sodomy in Christian Theology, Chicago, 1997; pp. 10–28

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.