Prokopi wa Sazava

Prokopi wa Sazava (Chotoun, Bohemia, takriban mwaka 970 – Sazava, Bohemia, 25 Machi 1053) alikuwa Mkristo ambaye, kwa kuacha mke na mtoto, akawa mmonaki Mbenedikto, mkaapweke na hatimaye abati wa monasteri aliyoianzisha Sazava (Ucheki) akifuata madhehebu ya Kigiriki na kutumia lugha ya Kislavoni.

Mt. Prokopi na Mfalme mdogo Oldrich.

Tarehe 2 Juni 1204 alitangazwa na Papa Inosenti III kuwa mtakatifu[1].

Sikukuu yake ni tarehe 25 Machi[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.