Q-Tip

Kamaal Ibn John Fareed (amezaliwea na jina la Jonathan Davis manmo tar. 10 Aprili 1970), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q-Tip, ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini St. Albans, Queens, New York huko nchini Marekani. Ni mmoja kati ya wanachama matata kabisa wa kundi zima la hip hop la A Tribe Called Quest.

Q-Tip

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaJonathan Davis
Pia anajulikana kamaAbstract, MC Love Child
Amezaliwa10 Aprili 1970 (1970-04-10) (umri 54)
Asili yakeSt. Albans, Queens, New York, Marekani
Aina ya muzikiEast Coast hip hop, alternative hip hop
Kazi yakeMburudishaji
AlaSauti, Kinanda, Bass, ngoma
Miaka ya kazi1986 – hadi sasa
StudioJive, Arista, Universal Motown, Battery, GOOD Music, Def Jam
Ame/Wameshirikiana naA Tribe Called Quest, De La Soul, Jungle Brothers, Queen Latifah, Busta Rhymes, Mobb Deep, Beastie Boys, Mary J. Blige, Talib Kweli, Ice Cube, Cypress Hill, Consequence, Mark Ronson, Janet Jackson, Kurt Rosenwinkel, Faith Evans, Native Tongues, R.E.M.
Tovutiqtiponline.com

John Bush wa Allmusic anamwita "rapa/mtayarishaji mahiri katika historia nzima ya hip-hop,"[1] wakati wahariri wa About.com wamemweka katika orodha yao ya 50-Bora ya Watayarishaji wa Hip-Hop,[2] na vilevile kumweka katika orodha yao ya Ma-MC Bora-50 wa Kipindi Chetu (1987–2007).[3] Mwaka wa 2012, jarida la The Source wamemweka nafasi ya 20 katika orodha yao ya Washairi 50 Bora wa Muda Wote.[4]

Kazi

A Tribe Called Quest

Kazi za kujitegemea

Diskografia

Makala kuu: Diskografia ya Q-Tip
  • 1999: Amplified
  • 2008: The Renaissance
  • 2009: Kamaal/The Abstract
  • 2013: The Last Zulu

Filmografia

  • 1993: Poetic Justice
  • 1999: Love Goggles
  • 2000: Disappearing Acts
  • 2001: Prison Song
  • 2002: Brown Sugar
  • 2004: She Hate Me
  • 2008: Cadillac Records
  • 2010: Holy Rollers

Marejeo

Viungo vya Nje

Kigezo:Q-TipKigezo:A Tribe Called QuestKigezo:SoulquariansKigezo:GOOD Music