Rais bikira

Rais bikira (pia: Irais, Herais, Iraida, Rhais; alifariki 303) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kifodini cha Mt. Rais.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake[1], haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu bikira na mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Septemba.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.