Ramon Nonat

Ramon Nonat[1], O. de M. (Portell, 1204 – Ngome ya Cardona, 31 Agosti 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Catalonia, Hispania.

Mt. Ramon Nonat akilishwa na malaika alivyochorwa na Eugenio Caxés, 1630.

Kadiri ya karama ya shirika lake alikwenda mara mbili Algeria kukomboa watumwa akajitoa kutekwa mwenyewe hadi malipo yatakapokamilika[2].

Papa Aleksanda VII alimtangaza mtakatifu mwaka 1657.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Elizabeth Hallam (ed.), "Saints: Who They Are and How They Help You" (New York: Simon & Schuster, 1994), p. 33.
  • "Lives of the Saints, For Every Day of the Year, edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., June 1, 1955, p. 344

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.