Romano wa Rouen

Romano wa Rouen (pia: Romain; alifariki Neustria, leo nchini Ufaransa, 640 hivi) alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa[1] [2].

Sanamu yake huko Rouen.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • Jean-Patrick Beaufreton, La Seine Normande, Éditions Alan Sutton, 2001
  • Alain Alexandre, Saint Romain, de la légende à la foire, collection histoire(s) d'agglo n°4, January 2001

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.