Rumoldi wa Mechelen

Rumoldi wa Mechelen (pia: Rumbold, Rumold, Romuold, Rumoldus, Rombout, Rombaut; 720 hivi - Mechelen, leo nchini Ubelgiji, 775[1]) alikuwa mkaapweke[2][3], na labda askofu, kutoka visiwa vya Britania.

Mt. Rumoldi katika kasula ya Basilica of Our Lady of Hanswijk, Mechelen.

Aliuawa na watu wawili aliowaonya kwa uovu wao[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 24 Juni[5][6].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.