Saint-Barth
Saint-Barth (jina rasmi la Kifaransa ni Collectivité territoriale de Saint-Barthélemy) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa.[1] Jina la awali lilikuwa Ouanalao, halafu likapewa jina la Mtume Bartholomayo.[2] St. Barth ni kisiwa chenye asili ya volkeno ambacho kipo kati ya Saint Martin na St. Kitts.[3]
Ukubwa wake ni kilometa mraba 25.
Kuanzia mwaka 2003 hakipo tena chini ya Guadeloupe.
Wakazi ni 9,035 (kadirio la Januari 2011).
Makao makuu yako Gustavia, ilipo bandari kuu ya kisiwa.
Lugha na utamaduni ni vya Kifaransa hasa, kwa kuwa wakazi wengi wana asili hiyo.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Serikali
- (Kifaransa) Collectivity of Saint Barthélemy (official government website)
- Comité Territorial du Tourisme (tourism board website) (Kifaransa)
- Historia na biolojia
- Mémoire St Barth : Saint-Barthelemy's history (slave trade, slavery, abolitions)
- (Kifaransa) Histoire et aménagement linguistique à Saint-Barthélemy Archived 19 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Saint Barth Fauna & Flora
- Taarifa za jumla
- Saint Barthelemy entry at The World Factbook
- Discover the island of St Barthelemy in a full 3D Tour[dead link]
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint-Barth kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz