Santiago de Chile

Santiago de Chile ni mji mkuu wa nchi ya Chile. Mji ni sehemu ya kanda la mji mkuu (Región Metropolitana) inayojumlisha pamoja na mkoa wa Santiago mikoa mitano mingine. Santiago yenyewe ni jina la sehemu penye kitovu cha mji na mitaa ya serikali penye watu 202,000 tu.

Santiago de Chile

Kitovu cha Santiago mbele ya milima ya Andes
Habari za kimsingi
UtawalaMkoa wa Santiago
Historiailiundwa 12 Februari 1541
Anwani ya kijiografiaLatitudo: 33°27′0"S
Longitudo: 70°40′0"W
Kimo520 m juu ya UB
Eneo641 km² (mji)
Wakazi- mji: 6,500,000
Msongamano wa watuwatu 8,000 kwa km²
Simu+56 (nchi) 73 (mji)
Mahali

Santiago ni kitovu cha kiuchumi na kisasa ya nchi hata kama Bunge lakutana mjini Valparaiso.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santiago de Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.