12 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 12 Februari ni siku ya arubaini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 322 (323 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Abitina, Melesyo wa Antiokia, Benedikto wa Aniane, Antoni Kauleas, Ludan n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 12 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.