Serapioni wa Algiers
Serapioni Scott, O. de M. (1179 – 14 Novemba 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Uingereza[1][2][3] au Uskoti[4] ambaye alikwenda Algeria kukomboa watumwa akauawa kwa ajili ya imani yake kwa kusulubiwa na kukatwa vipandevipande.
Papa Benedikto XIII alimtangaza mfiadini na kukubali shirika lake limheshimu (14 Aprili 1728).[2] Halafu Papa Benedikto XIV alimuingiza katika orodha ya watakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
- (Kinorwei) Den hellige Serapion av Alger (1179-1240)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz