Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia

Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia (kwa Kiingereza: World Meteorological Organization; kifupi: WMO) ni asasi ya ushirikiano baina ya serikali mbalimbali duniani ikiwa na idadi ya Nchi wanachama 193. Makao makuu ya shirika ni Geneva, Uswisi.

Makao makuu ya WMO

Rais wa mkutano wa Dunia wa hali ya hewa ndiye kiongozi mkuu wa shirika ambaye ni Gerhard Adrian[1], na mtangulizi wake alikuwa David Grimes.

Shirika hili lilianzishwa baada ya lile la Shirika la Kimataifa la Hali ya Hewa, lililoanzishwa mnamo mwaka 1873. [2]

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: