Siagri wa Nice

Siagri wa Nice (alifariki 787) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 777.

Sanamu yake upande wa mbele wa kanisa kuu la Nice.

Awali alikuwa mmonaki naye alianzisha monasteri karibu na Nice [1][2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[5] na Waorthodoksi[6] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Mei.[7]

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Passet, Claude. La Passion de Pons de Cimiez (Passio Pontii): sources et tradition. Nice, 1977.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.