Simoni wa Kurene
Simoni wa Kurene (kwa Kiebrania שמעון, Šimʿon au Šimʿôn) alikuwa Myahudi kutoka Kurene, Libya, aliyelazimishwa na askari kumsaidia Yesu kubeba msalaba hadi Kalivari, inavyoshuhudiwa na Injili Ndugu zote tatu.[1]
Kati ya Wainjili, Marko anamtambulisha kama baba wa Aleksanda na Rufo.
Tendo lake linakumbukwa katika kituo cha tano cha Njia ya Msalaba.[2]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
https://dacb.org/stories/libya/simon/
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simoni wa Kurene kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz