Sinkletika

Sinkletika (270 hivi - 350 hivi) alikuwa bikira wa Aleksandria (Misri) aliyeshika maisha ya mkaapweke badala ya kufuata uzuri na utajiri wake[1] .

Picha takatifu ya Mt. Sinkletika.
Mchoro mdogo wa Sinkletika wa Aleksandria, katika Menologion wa Basil II (1000 hivi).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari[2].

Misemo yake

Misemo yake nyingi katika tafsiri ya Kiswahili inapatikana ndani ya kitabu:

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.